Mtunzi: Joseph Rimisho
> Mfahamu Zaidi Joseph Rimisho
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph Rimisho
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: JOSEPH RIMISHO
Umepakuliwa mara 1,700 | Umetazamwa mara 4,168
Download Nota Download MidiKiitikio
Bwana ni Mfalme, amejivika adhama (Bwana), Bwana amejivika taji.
Mashairi
1. Bwana ametamalaki amejivika adhama, Bwana amejivika na kujikaza nguvu.
2. Naam ulimwengu umethibitika usitikisike, kiti chako kimekuwa dhabiti tokea zamani wewe uliye tangu milele.
3. Shuhuda zako ni amini sana, Utakatifu ndio uifaao nyumba yako, Ee Bwana milele na milele.