Ingia / Jisajili

KAMA AYALA

Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 512 | Umetazamwa mara 1,755

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
KIITIKIO Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji, Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku Mungu wangu MASHAIRI 1. Nafsi yangu inamwonea kiu Mungu, Mungu aliye hai, lini nitakapokuja nionekane mbele za Mungu? 2. Machozi yangu yamekuwa chakula changu, mchana na usiku, pindi wanaponiambia yuko wapi Mungu wako?

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa