Ingia / Jisajili

BWANA KAMA WEWE UNGEHESABU

Mtunzi: Wolford P. Pisa
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa

Makundi Nyimbo: Mwanzo | Zaburi

Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa

Umepakuliwa mara 327 | Umetazamwa mara 1,174

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka A
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka B
- Mwanzo Dominika ya 28 Mwaka C
- Katikati Dominika ya 5 ya Kwaresma Mwaka A

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

                                                                                KIITIKIO

Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama mbele yako, nani angesimama mbele yako *2

                                                                            MASHAIRI

  1. Ee Bwana toka vilindini nimekulilia, Ee Bwana uisikie sauti yangu, masikio yako yaisikilize sauti ya dua zangu.
  2. Laikini kwako kuna msamaha, msamaha ili wewe uogopwe, nimemngoja Bwana, roho yangu imemngoja, neno lake nimelitumaini.
  3. Nafsi yangu inamngoja Bwana, kuliko walinzi, walinzi waingojao, waingojao asubuhi

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa