Mtunzi: Wolford P. Pisa (WPP)
> Mfahamu Zaidi Wolford P. Pisa (WPP)
> Tazama Nyimbo nyingine za Wolford P. Pisa (WPP)
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Wolford Peter Pisa
Umepakuliwa mara 1,334 | Umetazamwa mara 4,455
Download Nota Download MidiMwimbieni Bwana wimbo mpya, mwimbieni Bwana nchi yote.x2 MASHAIRI. 1. Mwimbieni mwenyezi Mungu sifuni jina lake, tangazieni mataifa matendo yake matendo yake ya ajabu. NB: Mashairi mengine unaweza kuongeza kuendana na nota husika.