Ingia / Jisajili

Kama Vile

Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Gerald Mussa

Umepakuliwa mara 1,996 | Umetazamwa mara 7,799

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

KIITIKIO:

Kama vile Baba aliye hai,alivyonituma mimi,alivyonituma mimi nami ni hai kwa Baba, nakadhalika mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi,mimi ndimi chakula chenye uzima.

  1. Aulaye mwili wangu,nakuinywa damu yangu (naye) hukaa ndani yangu nami hukaa ndani yake.
  2. Aulaye mwili wangu, nakuinywa damu yangu(kweli) nami nitamfufua ile siku ya mwisho.
  3. Kwa maana mwili wangu, nichakula kweli (pia) pia nayo damu yangu ni kinywaji cha kweli.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa