Mtunzi: Gerald R. Mussa
> Mfahamu Zaidi Gerald R. Mussa
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald R. Mussa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Gerald Mussa
Umepakuliwa mara 778 | Umetazamwa mara 2,410
Download Nota Download MidiKIITIKIO: Pandeni milimani, mkailete miti, mkaijenge nyumba nami nitaifurahia x2 Nami nitatukuzwa asema Bwana.1
1) Mlitazamia vingi kumbe vikatokea vichache, tena mlipovileta nyumbani nikavipeperusha.
2)Ni kwa sababu ya nyumba yangu, nyumba yangu, inayokaa hali ya kuharibika, wakati ambapo ninyi mnakimbilia kila mtu na nyumbani kwake.
3)Basi, kwa ajili yenu mbingu zimezuiliwa kutoa umande, nayo nchi isitoe matunda yake.