Ingia / Jisajili

Karamu Ya Bwana

Mtunzi: Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Mfahamu Zaidi Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. C.P. Charo, OFM Cap.

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Charles charo

Umepakuliwa mara 675 | Umetazamwa mara 2,008

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana Yesu anatualika kwenye karamu na twendeni tukapokee mwili na damu yake ndugu yangu twende tukale chakula cha uzima wa milele x2, (je ndugu uko tayari kwa kushiriki kwenye karamu hii takatifu Bwana Yesu ni chakula cha uzima wa milele x2). 1. Yesu ndiye chakula cha uzima kilichoshuka kutoka mbinguni, mtu akila chakula hiki ataishi milele. 2. Mimi ndimi mzabibu nanyi muma tawi yangu mimi, mtu akiwandani yangu mimi atazaa matunda. 3. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu mimi, yeye anao uzima wa milele asema Bwana.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa