Mtunzi: Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Mfahamu Zaidi Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
> Tazama Nyimbo nyingine za Fr. C.P. Charo, OFM Cap.
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Charles charo
Umepakuliwa mara 820 | Umetazamwa mara 1,717
Download Nota Download MidiTwendeni Bethlehemu pale horini tukamuone mtoto Yesu amezaliwa mtawala (mfalme wa amani mchungaji mwema ndiye Mungu pamoja nasi, malaika juu wanamsujudia, Yesu kristu mkombozi wetu).
1.Manabii
walitabiri kuzaliwa kwake Bethlehemu twendeni sote tukamsujudie.
2.Neno
wa Mungu alitwa mwili kwa upendo na unyenyekevu kaja duniani kutukomboa.
3.Mama
Maria naye Yosefu wanaye mtoto Yesu horini twendeni sote tukamsujudie.