Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 562 | Umetazamwa mara 1,852
Download NotaKaribu kwangu Yesu mwema shinda nami Mwokozi kwa mwili na kwa damu yako, Yesu unishibishe x2.( unisafishe dhambi Yesu nihurumie leo iponye roho yangu Yesu niwashie Mapendo x2)
1.Wewe ndiwe mkate wa mbinguni utulishe wenye njaa wewe ndiwe mwanga wa mbinguni tu vipofu tuone tena.
2.Wewe ndiwe njia ya uzima yakufika kwa Baba yetu wewe ndiwe ukweli na haki tuangaze tusipotee.
3.Wewe ni uzima wetu sisi tu wagonjwa utuponye twende wapi tukielemewa kitulizo chetu ni wewe.