Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 294 | Umetazamwa mara 1,342
Download Nota Download MidiNchi zote nchi zote za Dunia, zimeuona wokovu wa Mungu wetu x2.
1.Mwimbieni Bwana wimbo mpya, kwa maana ametenda mamboya ajabu.
2.Amezikumbuka rehema, zake na uaminifu wake kwa nyumba ya Israeli.