Mtunzi: Stephen Nguu
> Mfahamu Zaidi Stephen Nguu
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Stephen Nguu
Umepakuliwa mara 15 | Umetazamwa mara 20
Download Nota Download MidiKARIBU MOYONI YESU
Chorus:
Karibu Moyoni,nakukaribisha Yesu,Roho yanguYesu ipate kupona)x2
1.Ninatamani sana kukupokea,njoo kwangu Yesu wangu unishibishe.
2.Wewe tegemeo unilishe Yesu,Mwili wako Damu yako Chakula Bora.
3.Roho yangu inakuonea kiu,Niishi nawe e Yesu uishi nami.
4.Damu yako kinywaji safi cha Roho,uniburudishe Yesu kwa Damu yako.