Ingia / Jisajili

Maisha Ni Tunu

Mtunzi: Stephen Nguu
> Mfahamu Zaidi Stephen Nguu
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephen Nguu

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Stephen Nguu

Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 1

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

MAISHA NI TUNU

Maisha yangu ni tunu nzuri itokayo kwako Mungu,Nakushukuru,asante Mungu wangu,

Maisha yangu ni tunu nzuri itokayo kwako Mungu,Ninashukuru,Mungu wangu asante.

(Uliniumba mimi,(tena)ukanilinda vyema,(kweli) wewe ni Mungu Mwema Pokea Sifa, Nakushukuru,

uhai wangu mimi,(pia)ni mali yako Bwana,(kweli) wewe uketiye juu pokea sifa,nakushukuru)x2

1.Uhai wangu mimi,ni tuzo toka kwa Mungu,na kila nilicho nacho,(Mungu)Amenijalia Bure.

2.Nikushukuruje Mungu,kwa yale uliyonipa,asante Ee Mungu wangu,(Mungu)Asante Asante Sana.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa