Ingia / Jisajili

Ee Mama Yetu Mwema

Mtunzi: Deogratias Rwechungura
> Mfahamu Zaidi Deogratias Rwechungura
> Tazama Nyimbo nyingine za Deogratias Rwechungura

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: Deogratias Rwechungura

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 11

Download Nota
Maneno ya wimbo

EE MAMA YETU MWEMA

Ee Mama yetu mwema Maria tunakusihi wanao Ee Mama utuombee kwa Mwana wako huko uliko mbinguni

(Huku tuliko bondeni Mama kwenye machozi, tunahitaji maombi yako Ee Mama yetu ili tuweze kufika mbinguni

huko uliko Ee Mama) x2

1. Wewe mzazi wake Mungu utuombee, Wewe Mama yake Kristu utuombee


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa