Ingia / Jisajili

Kati Ya Mamilioni

Mtunzi: Furaha Mbughi
> Mfahamu Zaidi Furaha Mbughi
> Tazama Nyimbo nyingine za Furaha Mbughi

Makundi Nyimbo: Ndoa

Umepakiwa na: Furaha Mbughi

Umepakuliwa mara 1,157 | Umetazamwa mara 2,808

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kati ya mamilioni ya mabinti wote hapa duniani, mimi nimekuchagua wewe uwe wangux2 Nakupenda, nakupenda, nakupenda sana uwe mke wangu wa maisha, uwe mke wangu wa maisha yangux2 1. Wewe chaguo la moyo wangu nakupenda sana mke wangu. 2. Sijaona mtu mwingine wa kufanana na wewe mke wangu. 3. Mungu kweli katuunganisha tuwe mwili mmoja siku zote. 4. Tupendane tuvumiliane kwenye shida na raha siku zote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa