Ingia / Jisajili

Katika Sacrament

Mtunzi: Stephano Ntemi
> Mfahamu Zaidi Stephano Ntemi
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephano Ntemi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: STEPHANO NTEMI

Umepakuliwa mara 7 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
katika sacrament, katika sacrament, yumo Yesu kristo Mwili na damu yake X2 1. Yesu akasema huu ndio mwili wangu utakao tolewa kwa ajili yenu 2.Hii ni damu yangu, damu ya agano jipya, itakayo mwagika kwa ajili yenu 3.Ee yesu wangu naomba unikumbuke, katika majaribu na mahangaiko yangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa