Mtunzi: Stephano Ntemi
> Mfahamu Zaidi Stephano Ntemi
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephano Ntemi
Makundi Nyimbo: Zaburi | Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: STEPHANO NTEMI
Umepakuliwa mara 627 | Umetazamwa mara 1,627
Download Nota Download Midiunihurumie Ee Mungu wangu (Mungu wangu), unisafishe makosa yanguX2
unioshe kabisa, hatia yangu, unisafishe makosa yangu.X2
1. Ninakiri kabisa makosa makosa yangu, naiona dhambi na uovu wangu, unihurumie ee Mungu wangu.
2. Nimetenda mabaya, mabaya mbele yako, mimi ni mkosefu tangu kuzaliwa kwangu, tangu tumboni mwa mama yangu
3. Wewe unataka unyofu ndani yangu nifundishe hekima moyoni mwangu, unitakase nitakate bwana
4. Nijaze furaha na shangwe nifurahishe mimi uliye niponda, usiziangalie dhambi zangu,
5. Uzifute hatia zangu zote niwezeshe kusema kusema ee bwana, midomo yangu iimbe sifa zako.