Mtunzi: Stephano Ntemi
> Mfahamu Zaidi Stephano Ntemi
> Tazama Nyimbo nyingine za Stephano Ntemi
Makundi Nyimbo: Kwaresma
Umepakiwa na: STEPHANO NTEMI
Umepakuliwa mara 900 | Umetazamwa mara 3,414
Download Nota Download Midimoyo wangu umekuambia, (bwana) uso wako nitautafuta mapema.X2
usinifiche uso wako, uso wako, Mungu wangu.X2
1. Unionee huruma ee mungu wangu, usinitupe Mungu wa wokovu wangu
2. Kwaajili ya makosa yangu Ee Mungu wangu, usinihukumu Mungu wa haki yangu