Ingia / Jisajili

KAZALIWA MWOKOZI

Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: Emil Mwemezi

Umepakuliwa mara 442 | Umetazamwa mara 1,925

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Leo kazaliwa Mwokozi, yuko pangoni Bethlehemu amelazwa hori-ni ×2
Ni Mfalme Kristo Ye-su, Aleluya, Aleluya.
  1. Ametuletea wokovu, tuupokee mioyoni mwe--tu
  2. Utukufu wake pia ukuu, una yeye Bwana milele mi-le-le.
  3. Hakika amezaliwa kweli kwe-li, nuru ya utukufu imetuangazi-a

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa