Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 1,555 | Umetazamwa mara 4,035
Download Nota Download MidiKi-nywa cha-ngu, kitasimulia haki (haki) kitasimulia haki na wokovu wako X2
1. Nimekukimbilia wewe Bwana nisiaibike, nisiaibike milele.
2. Kwa haki yakouniponye uniokoe, unitegee sikio lako, u-niokoe.
3. Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu, wa makazi yangu, nitakakokwenda siku zo-te.
4. Umeamuru niokolewe, ndiwe genge langu na ngome yangu, Ee Mungu wangu, uniopoe mkononi mwa mkorofi.