Mtunzi: Emil E Muganyizi
> Tazama Nyimbo nyingine za Emil E Muganyizi
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Emil Mwemezi
Umepakuliwa mara 1,608 | Umetazamwa mara 4,053
Download Nota Download MidiUTANGULIZI:
Ni wewe peke yako kipenzi changu chaguo la-ngu, Mungu amekuleta kwa ajili yangu ni wewe tu!
Hakuna mwingine zaidi yako mpenzi wangu, nimekuchagua kati ya wote Nakupenda
KIITIKIO:
Soprano: Ni wewe tu, ni- wewe tu, ni wewe tu kipenzi changu nakupenda! X2
Alto: NI wewe pekee we tu kipenzi ni wewe tu kipenzi changu nakupenda! X2
Tenor: Ni wewe tu, ni- wewe tu, ni wewe tu kipenzi changu nakupenda! X2
Bass: Ni wewe pekee ni wewe tu kipenzi ni wewe tu kipenzi changu nakupenda! X2
MASHAIRI:
1. Ninamuomba Mungu wetu atubariki, ndoa yetu ijae baraka toka kwake.....
2. Atujalie watoto zawadi yake, tuwalee katika misingi ya kiKristo.......
3. Familia yetu i-we na ama-ni, tuishi kwa upendo siku zetu zote......
4. Kusiwe na vikwazo katika imani yetu, Ee Mungu uwe ngao yetu milele.....