Ingia / Jisajili

KEKI ISIYOOZA

Mtunzi: Geofrey Ndunguru
> Tazama Nyimbo nyingine za Geofrey Ndunguru

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Miito | Mwaka wa Familia (2014) | Ndoa

Umepakiwa na: Geofrey Ndunguru

Umepakuliwa mara 319 | Umetazamwa mara 1,330

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nyumba yenye Amani, Upendo , Uvumilivu, chukua kiasi kikubwa cha uchangamfu, angalia kisiwe kikubwa sana. changanya na bakuli lililojaa ukarimu , na wema, changanya na kijicko cha huruma. koroga vyote pamoja na baadaye chuja ili ,,

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa