Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 513 | Umetazamwa mara 1,989
Download Nota Download MidiMpigieni Mungu kelele za shangwe, imbeni utukufu wa jina lake x2 {Tukuzeni sifa zake nchi yote, mwambieni Mungu matendo yako, yako matendo yako yanatisha kama nini! x2}
1.Nchi yote itakusujudia nakuliimbia jina lako Takatifu, Njooni tazameni Matendo ya Mungu hutisha, kwa mambo awatendayo wanadamu.
2.Aliigeuza Bahari na kuwa ikawa Nchi kavu na katika mto, wote walivuka kwa Miguu na huko ndiko, tuliko, Mfurahia uweza wake.
3.Njoo nisikieni ninyi nyote mnaomcha Mungu mnaomcha Mungu, nitayatangaza aliyonitenda Roho yangu, na Mungu asiyakatae maombi yangu.