Mtunzi: Patrick Lutego
> Mfahamu Zaidi Patrick Lutego
> Tazama Nyimbo nyingine za Patrick Lutego
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Patrick Lutego
Umepakuliwa mara 316 | Umetazamwa mara 1,193
Download Nota Download MidiMpenzi wa nafsi yangu usimame kisha ujipambe mavazi yako kisha twende zetu Hekaluni nikutambulishe mbele ya jumuiya yote, kati ya watu niliowaona wengi nimekuona wewe, nimekuchagua wewe...2) Mbele yake Mwenyezi na mbele ya mashahidi tunaki thibitisha kiapo chetu, pendo letu lidumu kadiri ya fadhili zake Mwenyezi Mungu Baba........3) Atukuzwe Mungu Baba Naye Mwana na Roho Mtakatifu pia siku zote, kama mwanzo na sasa na siku zote na milele yote milele amina...