Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 317 | Umetazamwa mara 1,410
Download Nota Download MidiNitakipokea Kikombe cha Wokovu Kikombe cha Wokovu x2. Nitakipokea Kikombe cha Wokovu, Nakulitangaza Jina lake x2.
1.Nimrudishie Bwana nini? Kwa Ukarimu wake wote alionitendea.
2.Kikombe kile cha Baraka, tukibarikicho, Je, si Ushirika wa Damu ya Kristo?
3.Ina Thamani Machoni pake Bwana, Mauti ya Wacha Mungu, Wacha Mungu wake, Ee Bwana Hakika mimi ni Mtumishi wake.
4.Nitakutolea Dhabihu ya Kushukuru, na kulitangaza Jina la Bwana.