Ingia / Jisajili

Msifuni Bwana

Mtunzi: Dr. Charles N. Kasuka
> Mfahamu Zaidi Dr. Charles N. Kasuka
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Charles N. Kasuka

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 1,861

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Katikati Dominika ya 25 Mwaka C

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Msifuni Bwana, Msifuni Bwana anayewakweza Maskini x2 {Msifuni, msifuni msifuni Bwana, anayewakweza Maskini x2}

1.Aleluya Aleluya, Enyi watumishi wa Bwana sifuni lisifuni, Jina la Bwana.

2.Jina la Bwana la Bwana, lihimidiwe Milele, tangu leo na hata, hata Milele.

3.Bwana ni mkuu juu ya Mataifa yote, utukufu ni juu juu ya mbingu.

4.Mungu wetu akatiye, juu anyenyekeaye, kutazama mbinguni, na Duniani.

5.Amketishaye pamoja, pamoja na wakuu pamoja na wakuu wa watu wake.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa