Mtunzi: Joseph C. Shomaly
> Tazama Nyimbo nyingine za Joseph C. Shomaly
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Derick Wafula
Umepakuliwa mara 1,069 | Umetazamwa mara 2,847
Download Nota Download MidiKila Mwenye pumzi naye amsifu Mungu, na kila kiumbe kimwimbe Mungu x2 Kukipambazuka natucheze wote kwa furaha, mchana wa jua na mawio natu serebuke x2
1. Siku za kuishi sio nyingi tusijivunie mali yote ya dunia.
2. Twaamini Mungu ni mmoja, Asifiwe siku zote aliyetuumba.
3. Leo tuko hai tufurahi kesho aijua Mungu, tumpeni sifa.
4. Kwa jina la Baba na la Mwana, na la Roho Mtakatifu milele Amina