Ingia / Jisajili

Kila mwenye Pumzi

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Shukrani

Umepakiwa na: Mika Wihuba

Umepakuliwa mara 600 | Umetazamwa mara 1,849

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kila mwenye pumzi (amsifu) amsifu Bwana kila mwenye pumzi amsifu amsifu amsifu amsifu amsifu amsifu amsifu amsifu Bwana (am)sifu (Bwana amsifu) amsifu amsifu BWana x2.

  • 1.Aleluya msifuni Bwana katika patakatifu pake msifuni katika anga la uweza wake.
  • 2.Msifuni msifuni Bwana, kwa matendo yake makuu msifuni kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
  • 3.Msifuni msifuni Bwana, kwa mvumo wa baragumu, msifuni msifuni kwa kinanda pia na kinubi.
  • 4.Msifuni kwa matari na kucheza msifuni kwa zeze na filimbi, msifuni kwa matoazi yaliayo.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa