Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Mika Wihuba
Umepakuliwa mara 421 | Umetazamwa mara 1,552
Download NotaKiitikio: Wewe Bwana umekuwa makao yetu x2. Kizazi kizazi kizazi kizazi baada ya kizazi x2.
Mashairi:
1.Wamrudisha mtu mavumbini, usemapo rudini enyi wanadamu, maana miaka elfu machoni pako, ni kama siku ya jana ikisha kupita na kama kesha la usiku.
2.Wawagharikisha huwa kama usingizi, asubuhi huwa kama majani yameayo, asubuhi yachipuka na kumea, jioni yakatika na kukauka.
3.Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, nasi tutashangilia nakufurahi siku zetu zote, na uzuri wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu, na kazi ya mikono yetu uithibitishe.