Ingia / Jisajili

Mpigieni Mungu Kelele

Mtunzi: Valentine Ndege
> Mfahamu Zaidi Valentine Ndege
> Tazama Nyimbo nyingine za Valentine Ndege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Valentine Ndege

Umepakuliwa mara 199 | Umetazamwa mara 855

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Mpigieni Mungu kelele, kelele za shangwe nchi yote X2

1. Tukuzeni sifa zake sifa zake, mwambieni Mungu matendo yako yatisha kama nini

2. Njoni sikieni nyote mmchao Bwana, nami nitayatangaza aliyonitendea Mungu.

3. Na ahimidiwe Mungu aliyegeuza bahari, ikawa nchi kavu wakavuka kwa miguu.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa