Ingia / Jisajili

Kila Tuulapo Mwili Wake Bwana

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 158 | Umetazamwa mara 394

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Kila tuulapo mwili wake Bwana (Yesu Kristo) na tuinywapo damu yake tunapata uzima uzima wa milele X2 1. Mwili wake ni chakula cha kweli damu yake ni kinywaji cha kweli 2. Tuulapo mwili wake na kuinywa damu yake tunakaa ndani yake naye ndani yetu 3. Ajaye kwake hataona njaa kabisa naye amwaminiye hataona kiu kamwe

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa