Ingia / Jisajili

Tazama Jinsi Ilivyo Vyema

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Zaburi

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 5 | Umetazamwa mara 17

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

(Tazama jinsi ilivyo vyema) tazama jinsi ilivyo vyema na kupendeza ndugu wakae pamoja pamoja kwa umoja X2

Ni kama mafuta mazuri mafuta mazuri kichwani yashukayo ndevuni ndevu za Haruni yashukayo mpaka upindo wa mavazi yake X2

Kama umande umande wa Hermoni ushukao milimani milimani pa Sayuni maana ndiko Bwana ndiko Bwana alikoamuru baraka naam uzima hata milele uzima hata milele uzima hata milele...


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa