Ingia / Jisajili

Nchi Na Vyote Viijazavyo

Mtunzi: Alex Rwelamira
> Mfahamu Zaidi Alex Rwelamira
> Tazama Nyimbo nyingine za Alex Rwelamira

Makundi Nyimbo: Zaburi | Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: Alex Rwelamira

Umepakuliwa mara 498 | Umetazamwa mara 1,036

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya Bwana dunia na wote wakaao ndani yake maana ameiweka misingi yake juu ya bahari na juu ya mito ya maji aliithibitisha X2

1. Ni nani atakayepanda katika mlima wa Bwana ni nani atakayesimama katika patakatifu pake

2. Mtu aliye na mikono safi na moyo mweupe asiyeiinua nafsi yake nafsi yake kwa ubatili

3. Atapokea atapokea baraka kwa Bwana atapokea na haki kwa Mungu wa wakovu wokovu wake

4. Hiki ndicho kizazi ndicho kizazi cha wamtafutao wakutafutao uso wako uso wako ee Mungu wa Yakobo

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa