Mtunzi: Mashamba Maximillian K. Mbj
> Mfahamu Zaidi Mashamba Maximillian K. Mbj
> Tazama Nyimbo nyingine za Mashamba Maximillian K. Mbj
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: maxmillian kapesa
Umepakuliwa mara 1,177 | Umetazamwa mara 3,998
Download Nota Download Midikinywa changu kita simulia haku na wokovu wa ko
1. nimekukimbilia wewe Bwana nisi aibike milele kwa haki yako uniponye unitegee sikio lako uniokoe
2.Uwe kwangu mwamba wa makazi yangu nitakako kwenda sikuzote umeamuru niokolewe ndiwe genge langu na ngome yangu ee Mungu wangu uniopoe mikononi mwa mkorofi.