Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 0 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiBwana atawala Mbingu na dunia , Bwana atawala vyote vilivyomo , yeye ndiye Kristo mfalme , yeye ndiye alfa pia omega yeye ndiye Kristo mtawala milele