Mtunzi: Himery Msigwa
> Mfahamu Zaidi Himery Msigwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Himery Msigwa
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Himery Msigwa
Umepakuliwa mara 436 | Umetazamwa mara 2,135
Download Nota Download Midikiitikio
Ni Yesu kristu ( kristu) anatualika kwenye karamu (karamu) yamapendo x2
Tunaalikwa tunaalikwa kwenye karamu (karamu) yamapendo
Wokovu wetu wa roho zetu atushibishe ( daima) siku zote
mashairi
1 Damu ya yesu ni kinywaji cha roho zetu
Mwili wa yesu ni chakula cha roho zetu
Haya twende twaalikwa karamuni
2 Anatuita tujongee mezani pake
Atusafishe dhambi zetu kwa damu yake
Twende sote wake kristo twaalikwa
3 Niondoleo la dhambi zetu
Tunaalikwa tumpokee
Roho zetu nafsi zetu zitapona