Ingia / Jisajili

Kristu Ametupenda

Mtunzi: Plus Nicholas
> Mfahamu Zaidi Plus Nicholas
> Tazama Nyimbo nyingine za Plus Nicholas

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Plus Nicholas

Umepakuliwa mara 196 | Umetazamwa mara 800

Wimbo huu unaweza kutumika:
- Antifona / Komunio Dominika ya 30 Mwaka A

Download Nota
Maneno ya wimbo

Kristu ametupenda kwa upendo mkubwa akajitoa kwa ajili yetu.

1. Sadaka na dhabihu kwa Mungu kuwa harufu nzuri ya manukato

2. Amri mpya nawapeni mpendane kama vile nilivyo wapenda ninyi

3.Hivyo watu wote wata watambua kua wanafunzi wangu


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa