Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani
Makundi Nyimbo: Kristu Mfalme | Pasaka
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 4,833 | Umetazamwa mara 10,296
Download Nota Download MidiCHRISTUS VINCIT
Kristu mshinda Kristu Mfalme Kristu Kristu mtawala
Yohane Paulo mkuu wa maaskofu na Baba mtakatifu wa wote, tunakutakia amani uhai na afya njema