Ingia / Jisajili

Mawazo Ya Moyo Wake

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Joseph Isaya Mwakapila

Umepakuliwa mara 1,436 | Umetazamwa mara 6,164

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Mawazo ya Moyo wake (mwema) ni kwa kizazi na kizazi,

            Mawazo ya Moyo wake, ni kwa vizazi vyote x 2.

  1. Yeye huwaponya nafsi zao na mauti/

Nakuwalisha wakati wa njaa.

  1. Mpigieni Bwana vigelegele/

Enyi wenye haki.

  1. Kusifu kunawapasa/

Wanyofu wa moyo.


Maoni - Toa Maoni

Jesse Aug 22, 2019
Wimbo ninwa Kayetta

Toa Maoni yako hapa