Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Kwaresma
Umepakiwa na: Nivard Silvester
Umepakuliwa mara 847 | Umetazamwa mara 3,269
Download Nota Download MidiKiitikio
Kwa ishara ya msalaba tuokoe x2
Maimbilizi
1.Tuokoe na dhambi zetu kwa ishara ya msalaba tuokoe
2. Mataifa wafanya ghasia mbele ya Mungu wetu Mungu wetu
3. Makabila yako Ee Bwana yanatafakari ubatili
4. Na wafalme wa dunia wajipanga wajipanga juu yako
5. Mungu wetu aliye juu anacheka na kuwadhihaki