Ingia / Jisajili

MSIFUNI BWANA

Mtunzi: Nicolaus Chotamasege
> Mfahamu Zaidi Nicolaus Chotamasege
> Tazama Nyimbo nyingine za Nicolaus Chotamasege

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: Wilehard Chotamasege

Umepakuliwa mara 402 | Umetazamwa mara 1,415

Download Nota
Maneno ya wimbo

Msifuni Bwana anayewakweza, anayewakweza, anayewakweza maskinix2

1. (a)Enyi Watumishi wa Bwana lisifuni, lisifuni jina la Bwana.

    (b)Jina la Bwana liimidiwe sasa, tangu leo sasa na hata milele

2. (a)Bwana ni Mkuu juu ya mataifa, utukufu wake utukufu wake ni juu ya Mbingu

   (b)Ni nani aliye mfano wa Bwana,anyenyekeaye kutazama Mbingu

3.(a)Humwinua mnyonge kutoka mavumbini,na kumpandisha yeye masikini

   (b)Amketishe pamoja na Wakuu wake, pamoja na Wakuu wa Watu wake



































































2.                                                                           


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa