Mtunzi: Yudathadei Chitopela
> Mfahamu Zaidi Yudathadei Chitopela
> Tazama Nyimbo nyingine za Yudathadei Chitopela
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela
Umepakuliwa mara 1,471 | Umetazamwa mara 4,549
Download Nota Download MidiKWA MAANA, WEWE U MWEMA, UMEKUWA TAYARI (TAYARI KUSAMEHE) KUSAMEHE X2
1. WEWE BWANA U MWEMA UMEKUWA TAYARI KUSAMEHE NA MWINGI WA FADHILI KWA WATU WOTE WAKUITAO.
2. EE BWANA USIKIE UYASI-KIE MAOMBI YANGU UISIKILIZE SAU-TI SAUTI SAU-TI YA DUA ZANGU.
3. KWA KUWA NDIWE MKUU WEWE NDIWE MFANYA MIUJIZA NDIWE MUNGU PEKE YAKO WATU WOTE WATAKUSUJUDIA.
4. LAKINI WEWE BWANA U MUNGU WA REHEMA NA NEEMA UNIELEKEE MIMI BWANA UNIELEKEE NA KUNIFADHILI.