Mtunzi: Mmole G.
> Tazama Nyimbo nyingine za Mmole G.
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Gereon Mmole
Umepakuliwa mara 391 | Umetazamwa mara 1,727
Download Nota Download MidiKiitikio:
Kwa moyo safi twende tukampokee Bwana wetu Yesu Kristo wa Ekaristi, Njoni kwa unyenyekevu na moyo wenye wingi wa toba,
ili kwa huruma yake, Mwili na Damu tuliyopokea vitulinde mwili na roho zetu, na viwe dawa ya kutuponya.
Viimbilizi:
1. Ee Bwana Yesu, Usikubali Mwili na Damu yako. viwe kwangu sababu ya hukumu yangu.
2. Wewe wajua, sistahili uingie kwangu, laki nise mane na roho yangu itapona.
3. Usiniache, nitengane na wewe Mwokozi wangu, niwezeshe daima kufuata amri zako.
4. .Uniokoe, kwa Mwili na Damu yako takatifu, ili mwisho nishiriki utukufu milele.