Mtunzi: Gerald Cuthbert
> Mfahamu Zaidi Gerald Cuthbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald Cuthbert
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo | Shukrani
Umepakiwa na: Gerald Cuthbert
Umepakuliwa mara 395 | Umetazamwa mara 1,107
Download Nota Download MidiChorus:
Shukurani zangu kuu nakutolea Ee Bwana, Ni kwa moyo wangu wote nakuimbia Ee Bwana. ×2
Niimbe Je namna gani, Na nicheze namna gani, kusifu adhama yako, Hakika wewe mkuu×2
1.Nilipoanguka uliniinua nikushukuruje Bwana Asante.
2.Ni kwa moyo wangu na kwa roho yangu nakusifu wewe Bwana Asante.
3.Nitalitangaza neno lako Bwana ili wakutambue Bwana Asante.
4. Siku zangu zote nitaimba wema na fadhili zako Bwana Asante.