Ingia / Jisajili

Niko Tayari

Mtunzi: Gerald Cuthbert
> Mfahamu Zaidi Gerald Cuthbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald Cuthbert

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio | Mafundisho / Tafakari | Moyo Mtakatifu wa Yesu

Umepakiwa na: Gerald Cuthbert

Umepakuliwa mara 270 | Umetazamwa mara 1,117

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Niko tayari kujongea karamu yako yenye uzima,nikiamini kusafishwa ili nipate uzima tele. 1.Na kwa hii karamu ninayo shiriki altareni naamini nitapata neema amani kwako bwana. 2.Mwili pia damu ulioacha tukukumbuke,kwa ekaristia safi twakuheshimu wewe Bwana. 3.Aulaye huu na kukinywea kikombe hiki ana uzima milele pia rehema kutoka kwako

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa