Ingia / Jisajili

Kwa wema na fadhili

Mtunzi: Gerald Cuthbert
> Mfahamu Zaidi Gerald Cuthbert
> Tazama Nyimbo nyingine za Gerald Cuthbert

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Shukrani

Umepakiwa na: Gerald Cuthbert

Umepakuliwa mara 175 | Umetazamwa mara 992

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Asante Tunakushukuru asante, kwa wema na fadhili Asante Tunakushukuru asante asante asante. 1.kwa mwili na damu yako asante asante, chakula bora cha mbingu asante asante. 2.wema na fadhili zako asante asante, huruma neema zako asante asante 3. Ulinzi na uongozi asante asante, Baraka nazo fanaka asante asante.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa