Mtunzi: Frt Joshua Mkuni
> Mfahamu Zaidi Frt Joshua Mkuni
> Tazama Nyimbo nyingine za Frt Joshua Mkuni
Makundi Nyimbo: Mazishi
Umepakiwa na: Joshua Mkuni
Umepakuliwa mara 1 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiKwaheri Mpendwa Wetu
Utangulizi
Kwaheri mpendwa wetu tutakukumbuka sana mwendo umeumaliza
Kiitikio
Mumgu mwenyezi uliye toa (sasa umetwaa) umpokee kwenyemakao ya Mbinguni
Mashairi
1. Ndugu wanalia jamaa pia, hakika pengo lako halitazibika
2. Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Hitimisho
KwaheriĆ2 Mungu akipenda tutaonana tena