Ingia / Jisajili

Kweli Ni Huzuni

Mtunzi: Hajulikani
> Tazama Nyimbo nyingine za Hajulikani

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: Yudathadei Chitopela

Umepakuliwa mara 5,053 | Umetazamwa mara 11,850

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
  1. Kweli ni huzuni kwa kifo chake Bwana Yesu alivyowambwa pale mtini alisema moyoni namaliza kwa huzuni.

    Akalia kwa huzuni hata mwisho alikufa pale juu msalabani akakata roho kwa huzuni


Maoni - Toa Maoni

VICENT MAYUNGA Mar 10, 2019
Huu ni wimbo kati ya nyimbo zinazotafakarisha sanau. katika maisha yetu ya kikristo, tuufundishe kwa wanakwaya wet

Emmanuel majani Feb 27, 2018
Uko vizuri broo

BEATUS ERNEST Mar 02, 2017
Kiukweli Hongereni Sana kwa Ujumbe Madhubuti ulioyagusa Maisha ya BWANA WETU YESU KRISTO kwani Unachoma Mpaka Ndani ya MIOYO yetu. Mbarikiwe Sana Na Muendelee Kuyachunguza Mengine zaidi Kwani KANISA linawategemea Ktk Uinjilishaji.

Donald Mlecha Feb 17, 2017
Ni wimbo uliotungwa kwa utaratibu, na ujumbe wake unapenya moyoni

Toa Maoni yako hapa