Mtunzi: Victor Murishiwa
> Tazama Nyimbo nyingine za Victor Murishiwa
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Sadaka / Matoleo
Umepakiwa na: Thomas George Mwakimata
Umepakuliwa mara 5,950 | Umetazamwa mara 9,611
Download Nota Download Midi1. Amkeni wote tupeleke vipaji vyetu twende tusizifukie talanta tulizopewa x 2,
Kiitikio; Hesabuni hatua zenu moja, mbili, tatu, tembeeni tukamtolee mwenyezi vipaji vyetu x 2.
2. Simameni wote onyesheni upendo wenu kweli na uaminifu katika mioyo yenu x2.
3. Mwambieni Mungu twakushukuru kwa mema yako yote ulotujalia katika maisha yetu x 2
4. Ewe mwanadamu ukumbuke kumshukuru Mungu umshukuru Mungu wako kwa kila jambo x 2.