Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Thomas Bingi
Umepakuliwa mara 798 | Umetazamwa mara 2,070
Download Nota Download MidiMaagizo ya Bwana ni yaadili hufurahisha moyo.
Mashairi.
1.Sheria ya Bwana ni kamilifu huiburudisha nafsi ushuhuda wwa Bwana ni amini humtia mjinga hekima.
2.Kicho cha Bwana ni kitakatifu kinadumu milele hukumu za bwana ni kweli zina haki haki kabisa.
3. Tena mtumishi wako huonywa kwazo katika kuzishika kuna thawabu nyingi.
4.Ni nani awezaye kuyatambua makosa yake unitakase na mambo ya siri.
5.Umzuie mtumishi wako asitende mambo ya kiburi yasinitawale mimi.
6.Ndipo nitakapo kuwa kamili nami nitakuwa safi bila kosa lillilo kubwa.