Ingia / Jisajili

Ee Bwana Ulimwengu Wote

Mtunzi: Thomas P. Bingi
> Mfahamu Zaidi Thomas P. Bingi
> Tazama Nyimbo nyingine za Thomas P. Bingi

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: THOMAS PATRICK

Umepakuliwa mara 345 | Umetazamwa mara 898

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ee Bwana ulimwengu wote u katika uweza wako wala hakuna awezaye kukupinga ukipenda. Shairi. Wewe umeumba yote mbingu na nchi na vitu vyote vya ajabu vilivyomo chini ya mbingu, ndiwe bwana wa yote.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa